Maoni katiba mpya kulikoni??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni katiba mpya kulikoni???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OSOKONI, Jul 12, 2012.

 1. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Tume inayokusanya na kuratibu maoni juu ya kuandika katiba mpya imeshaanza kazi chini ya Jaji Joseph Sinde Warioba! Nafikiri imeshaanza kazi mikoa ya kusini, nimekuwa nikifuatilia kwenye vyombo vya habari hususani magazeti ili kuona wananchi wanashiriki vipi kutoa maoni, mahudhurio, na wanajikita hasa kwenye mambo gani hasa amabayo wangependa yaingizwe kwenye katiba mpya!Kwa mshangao habari hizi hazipewi kipaumbele na vyombo vya habari na hata hapa JF Sijaona watu wakizungumzia namna wananchi wenzetu wanavoipokea tume na utoaji wao wa maoni!!
  Sasa sijui ile sheria iliyounda tume inakataza vyombo vya habari kutangaza habari za tume maoni ya wananchi?? Naombeni yeyote mwenye taarifa kuhusu mwenendo wa tume hii ya katiba mpya atupenyezee tujue watanzania wenzetu wanajadili nini??
   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
Loading...