Mkubwa napo pale pamekaa kifisadi zaidi, kupaki gari siajabu this yr ikawa laki 1 kuingiza ndani nje 20 elfu ukiingia ndani hakuna cha maana cha kununua msongomano mkubwa ka nini .....
Mwaka huu 77 itakuwa poa zaidi kwani kwa mara ya kwanza serikali na makampuni ya brazili yatashiriki..
Raisi wa brazili inacio lula da silva atakuwa gh na huenda hata ile team ikaja tena kutia hamasaa.....
khaa ina maana fainali ya WC2010 inaweza kuhamishiwa uwanja wa taifa siyo..duu :biggrin1::biggrin1: Pengine huwezi kujua.
Poor preparations... mpaka leo vitambulisho kwa ajili ya washiriki bado havijatolewa... esxcuss... washiriki ni wengi sana. Leo ndo wameanza kuscrutinise maombi ya washiriki ili kuprocess vitambulisho, wengine hata picha hawajapigwa.
ukweli navutiwa na makampuni machache ya nje na machache ya ndani lakini yolobaki ni fujo tupu sio maonyesho tena ni maduka ya vitu vya kichina vya kkoo na cm zinaamishiwa 77 tena kwa bei ya juu zaidi ukiuliza unaambiwa kodi kubwa