kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,336
- 21,434
ndugu wanajamvi rais wetu wakati anaingia madarakani kila hotuba alikuwa akisisitiza kuombewa ili aiendeshe vyema nchi na kuifikisha salama Tanzania
lakini ndani ya mwaka mmoja na nusu dua zimemtosha na hataki tena kuombewa wala dua zenu na anadharau hata wale aliokuwa akiwaomba kumuombea kila wakati, siku zinakwenda kasi amesahau,ni wakati wetu sasa kumuombea apunguze maruerue yake