Maombi ya vyuo awamu ya nne

Maombi ya vyuo awamu ya nne

mchumi tumbo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
830
Reaction score
997
Hivi awamu ya nne itakuwepo au tuliokosa tujihesabie mwaka huu ishakula kichwa mpaka mwakani?.
 
Kama una points nzuri subiri mwakani ili usome course unayotaka!
 
awamu ya nne ipo ila itafanyika kijijini kwenu shambani.
 
Cubili amna taarfa kuhusu knacho endelea lkn fanya kuaaply kuna badh ya vyuo unaweza kureapply check ila pia ucubili
 
Enzi zangu vilaza walibaki home , vilaza wengine waliojiongeza walienda kulima mafenesi kijijini labda nikuulize unaenda kulima au unabaki home?
Sawa dada yangu nimekuelewa sema siku nyingine upunguze kuwashwawashwa.Kitu kama hukifahamu unakaa kimya sio kila mashine ya mwanaume uidakie..after all usifikiri kila jambo linaloulizwa basi linamlenga mtumaji directly nyingine ni njia za kuexpress tu but ujumbe ufike na msaada upatikane..msalimie mumeo
 
Hivi awamu ya nne itakuwepo au tuliokosa tujihesabie mwaka huu ishakula kichwa mpaka mwakani?.
Kama unasifa za kupata chuo nenda TCU, waeleze kwamba uliomba na ukakosa.Watakupangia chuo kwa maana wapo ambao wanachaguliwa lakini hawaripoti vyuoni kwa sababu nyingi tu..... Hii ndio njia pekee kwako ya kupata chuo.
 
Back
Top Bottom