Maombi ya ushiriki wa siasa yanahitajika


babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
4,698
Points
2,000
babalao 2

babalao 2

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
4,698 2,000
Jamani salamu kwenu wataalamu wa picha nimetoka jukwaa la chitchat kuwakaribisha kutoa maoni kwenye jukwaa la siasa nikaona nipitie hapa kuwaalika wote bila kumsau BUJIBUJI NA MBUZI MZEE.
Topic motomoto za magwiji wa siasa bongo wanachuana vikali hao ni kina ZITO, MNYIKA, SLAA, NAPE NA KINANA wanaleta topic motomoto Hivo nguvu zenu za ufikiri zinahitajika kule kwani nyie pia ni wapiga kura. Ahsanteni sana. uploadfromtaptalk1355042346869.jpg
 

Forum statistics

Threads 1,284,769
Members 494,236
Posts 30,839,242
Top