Maombi ya kujiunga na Vyuo vya Afya mwaka 2015/2016

Maombi ya kujiunga na Vyuo vya Afya mwaka 2015/2016

Status
Not open for further replies.

katuntu

Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Waheshimiwa naomba tufahamishane tetesi za ni lini wana anza kutuma maombi ya kujiunga na vyuo vya afya.
 
je ni lini selection kwa wale walio apply vyuo vya afya 2015
 
Oo kijana limetilewa tangazo na nacte kwa wanao taka elim hii ya public na mwisho wa kuapply ni mwez wa 9 so changamka.
 
naomba orodha ya courses ambazo zina tolewa na vyuo vya afya. na tarehe ya mwisho ya kutuma maombi. bila kusahau majina ya vyuo hivyo na kozi zake na mahali vinapopatikana.
 
Jamani naombeni ushauri nimepata lll ya 23 naka kupata vyuo vya avfya vinavyo lipa vizuri naombeni orodha ya hivyo vyuo vya hapa dar lakin please nisaidieni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom