Damdeok
Member
- Dec 22, 2014
- 40
- 18
Ndugu wana JF na yeyote atakaeona uzi huu,
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuleta kwenu ombi kwa anaefahamu au mwenye connection au umesikia sehemu kuna nafasi za kazi naomba nina vijana wangu wawili wamemaliza masomo yao (Bachelor degree) Mmoja ya Project Management na mwingine ya Urban Planning.
Unaweza ku reply hapa ama kuwasiliana nami kwa email: gbjuma762@gmail.com