Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Salaam wakuu Wakubwa Shikamooni Wadogo habari zenu Nikijana mwenyemiaka 20 Nakaa moshi Elimu Kidato channe
naleta maombi yengu kwenu wana jf muweze kunisaidia kupata kazi Ninauzoefu wa
1,BAR MAN 2,SHOP 3,SERVICE HOTELS OR BAR ,
Nanipotayari kufanya kazi yyt halali itakayo endana na elimu yangu
Najua kuongea kingereza kiarabu kidogo na kiswahili Napatikana moshi tafadhali wana jf naombeni
Msaada wenu shukraan.