Mgeni95
New Member
- Jan 23, 2020
- 2
- 1
Habari Wana JamiiForums
Ni Matumaini yangu mu wazima na tunapambana vyema na ili janga la Corona lililoikumba nchi yetu na Dunia nzima [emoji1431]
Nimejitokeza mbele yenu hapa kwa Nia ya dhati kabisa ya kumuombea Mme wangu kazi ya udereva kwenye makampuni binafsi au sekta yoyote ile nafasi itakayopatikana!
Sifa zake
Kukiwa na lolote, tafadhali usisite kunipigia nitashukuru sana. Asante
Mawasiliano Call/WhatsApp: 0757460922

- Ana umri wa miaka 29
- Leseni yake Ina mruhusu kuendesha madaraja yafuatayo bila shida yoyote. Daraja A, A1, A2, B, C1, C3, D, G, na F.
- Ana uzoefu wa udereva kwa miaka 10, na ni dereva mzuri.
- Anaishi Dar es salaam.
- Ni mwaminifu na ana nidhamu kwenye kazi.