Maombi ya diploma yataanza lini?

Maombi ya diploma yataanza lini?

blotter20

Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
53
Reaction score
14
Habari zenu humu ndani naombeni kuuliza nikiingia kwenye website ya TCU nikitaka kuuapply for degree inadai the system is closed and will be opened on 31st July 2016.

Sasa cha kushangaza mpaka Jana bado system haijafunguliwa. Nahitaji kujua kuna watu wanaoona hivo maana TCU hawapokei simu na cijui namna nyingine ya kuapply kwa mtu ambae amemaliza diploma.
 
Hahaha hahaha pole,ila uwe makini na taarifa TCU wamesema kuomba kwa diploma ni kuanzia tar 8/8/2016 kaa tayari maana tarehe zenyewe ndio hizi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom