Kwa upande wa NATCE wanautaratibu wa kutoa form online ambayo utapaswa kulipa 20, 000. Form hizo zitatoka mwezi wa kumiSamahani wanajukwaa naomba kuuliza hivi eti inafaa kwenda chuoni moja kwa moja kuomba nafasi wakupangie hapo wakati umesha apply vyuo vengine unasubiri tofauti na hicho??
Sasa maana ya transfer au uwepo wa TCU ni niniSamahani wanajukwaa naomba kuuliza hivi eti inafaa kwenda chuoni moja kwa moja kuomba nafasi wakupangie hapo wakati umesha apply vyuo vengine unasubiri tofauti na hicho??
mbona kama inawezekan kuna rafiki yangu aliapply MUM direct na wakampa majibu wakati uo uo ikawa kazi ya chuo cha Mum kufuatilia Tcu na iv sasa jamaa jina lake lipo miongon mwa wataosoma Mum kesho kutwaSamahani wanajukwaa naomba kuuliza hivi eti inafaa kwenda chuoni moja kwa moja kuomba nafasi wakupangie hapo wakati umesha apply vyuo vengine unasubiri tofauti na hicho??
Ndio MUM wanapokea halafu wao MUM wanapeleka TCUHadi saivi mkuu?