Mwezi wa 10 huko labdaJe nafasi mpya za maombi TRA wanaweza kufanya usaili lini?
Cha msingi Ni kupiga msuli tuKwani deadline imepita.. even ikapita for now Endelea na shughuli zako shortlisted za utumishi Wala si za kuzisubiria namna hyo tena kazi kama hzo Applicants kibao... Hapo Expect kuanzia mwezi June au July
Mimi napata changamoto za kuattach certified certificates kwenye ajira portal lakini nimescan ipo kwenye PDF lakini imegoma kabisa.
Inaleta ujumbe Gani tukusaidieMimi napata changamoto za kuattach certified certificates kwenye ajira portal lakini nimescan ipo kwenye PDF lakini imegoma kabisa.
Tra deadline si tayari mkuu ama?Mimi napata changamoto za kuattach certified certificates kwenye ajira portal lakini nimescan ipo kwenye PDF lakini imegoma kabisa.
Tayari nilisha-Apply sema nahangaika kuweka documents sawa maana awamu iliyopita sikuchaguliwa kuingia hatua ya interview kwasababu vyeti havikuwa certifiedTra deadline si tayari mkuu ama?
Inaleta ujumbe Gani tukusaidie
Inaleta ujumbe Gani tukusaidie
Test hizo PNG au jpg
Utaalam wa hizi pia ni changamoto kwangu nimezoea PDFTest hizo PNG au jpg
Chukua hyo PDF Yako kaiConvert kwenda PNG onlineUtaalam wa hizi pia ni changamoto kwangu nimezoea PDF