Maombi kwa mfuko wa bima ya afya(NHIF) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi kwa mfuko wa bima ya afya(NHIF)

Discussion in 'JF Doctor' started by kipindupindu, May 26, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wasalaamu!
  Kwa kuwa wananchi mbalimbali,mashirika ya dini,taasisi zisizo za kiserikali(NGOs),mashirika ya umma na serikali kupitia mawaziri mbalimbali wameonyesha kuikubali dawa isiyothibitishwa ya babu wa loliondo,
  kwa dhati kabisa napenda kuomba mfuko wa bima ya afya ugharamie matibabu ya wateja wake wanaoenda kwa babu.
  Nashauri huduma kama za usafiri,malazi na sh 500 za babu zichangiwe na mfuko huu.
  NHIF haina budi kumuorodhesha babu wa samunge kama mdau mkubwa katika huduma za afya.
  Kama tumetengeneza barabara na kupeleka huduma za mawasiliano sioni ugumu wa suala hili kabisa.

  Wadau wa babu mnaonaje ?
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  siamini kama hii post ni yako.
   
Loading...