B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,414
Duh nn wewe mlamba nyukiDuh aiseee
Viva Tundu lissu Viva,
Jina lako ni kuu kuliko la shetani.
Shetani ni mwanamke na atashindwa
Msikie hapa akitaka kukinukisha:-Wakuu habari zenu hapa.
Sijawahi kuandaa na kuandika uzi hapa.
Ila huu uzi uwe maalumu kwa ajili ya kumuombea ndugu yetu, mzalendo, mpenda haki na mpenda sheria na mpenda mabadiliko yenye faida kwa taifa hili.
Si mwingine bali ni #NIYEYE Mhe/Ndugu Tindu A Lissu.
Naanza na sala kutoka nafsini mwangu.
Mungu baba mwenye enzi yote naomba kukushukuru kwa pumzi hii na nafasi ya uhai huu, baba unisamehe yote niliyotenda kinyume na amri zako/mapenzi yako, baba tuzidishie uzima na naomba umpe ulinzi ndugu TUNDU A LISSU na wote wenye kupigania haki ya wa Tanzania. Weka ulinzi wako kila amkapo, alalapo anapokula na kila anapo simama kutembea au chochote kile umlinde kwa damu ya mwanao YESU kristo.
Mkinge na hila majini wachawi waganga na masadukayo yoote.
Muepushe na mabaya wapangayo mafarisayo. Mpe afya zaidi.
Sote tuseme Ameeen
Kila mtu asali kwa imani yake.
ONYO.
Huu uzi sitaki maombi mabaya. Tutazinguana
Ukiomba mabaya yakupate wewe mwenyewe.
Shida ipo wapi. Anakinukisha kweli
Ananuka mwenyeweShida ipo wapi. Anakinukisha kweli
Ni reforms no election kisha nuka
Chunga sana mtu anayefanya kitu akijuwa matokeo yake ni nini
KmmkAnanuka mwenyewe
Mungu aliyemwokoa Daniel kwenye tundu la Simba yuko na Lissu piaWakuu habari zenu hapa.
Sijawahi kuandaa na kuandika uzi hapa.
Ila huu uzi uwe maalumu kwa ajili ya kumuombea ndugu yetu, mzalendo, mpenda haki na mpenda sheria na mpenda mabadiliko yenye faida kwa taifa hili.
Si mwingine bali ni #NIYEYE Mhe/Ndugu Tindu A Lissu.
Naanza na sala kutoka nafsini mwangu.
Mungu baba mwenye enzi yote naomba kukushukuru kwa pumzi hii na nafasi ya uhai huu, baba unisamehe yote niliyotenda kinyume na amri zako/mapenzi yako, baba tuzidishie uzima na naomba umpe ulinzi ndugu TUNDU A LISSU na wote wenye kupigania haki ya wa Tanzania. Weka ulinzi wako kila amkapo, alalapo anapokula na kila anapo simama kutembea au chochote kile umlinde kwa damu ya mwanao YESU kristo.
Mkinge na hila majini wachawi waganga na masadukayo yoote.
Muepushe na mabaya wapangayo mafarisayo. Mpe afya zaidi.
Sote tuseme Ameeen
Kila mtu asali kwa imani yake.
ONYO.
Huu uzi sitaki maombi mabaya. Tutazinguana
Ukiomba mabaya yakupate wewe mwenyewe.
👏👏👏Ila huu uzi uwe maalumu kwa ajili ya kumuombea ndugu yetu, mzalendo, mpenda haki na mpenda sheria na mpenda mabadiliko yenye faida kwa taifa hili.
Si mwingine bali ni #NIYEYE Mhe/Ndugu Tindu A Lissu.
Naanza na sala kutoka nafsini mwangu.
Baba ktk Jina la Yesu Kristo umsaidie na kumlinda ndugu Tundu Lisu ili aspate matatizo. Mpe hekima na busara ktk kutetea haki za watanzania na imperial ushindi ktk yote yaliyotoka kwako. Katika Jina la Yesu Kristo.Wakuu habari zenu hapa.
Sijawahi kuandaa na kuandika uzi hapa.
Ila huu uzi uwe maalumu kwa ajili ya kumuombea ndugu yetu, mzalendo, mpenda haki na mpenda sheria na mpenda mabadiliko yenye faida kwa taifa hili.
Si mwingine bali ni #NIYEYE Mhe/Ndugu Tindu A Lissu.
Naanza na sala kutoka nafsini mwangu.
Mungu baba mwenye enzi yote naomba kukushukuru kwa pumzi hii na nafasi ya uhai huu, baba unisamehe yote niliyotenda kinyume na amri zako/mapenzi yako, baba tuzidishie uzima na naomba umpe ulinzi ndugu TUNDU A LISSU na wote wenye kupigania haki ya wa Tanzania. Weka ulinzi wako kila amkapo, alalapo anapokula na kila anapo simama kutembea au chochote kile umlinde kwa damu ya mwanao YESU kristo.
Mkinge na hila majini wachawi waganga na masadukayo yoote.
Muepushe na mabaya wapangayo mafarisayo. Mpe afya zaidi.
Sote tuseme Ameeen
Kila mtu asali kwa imani yake.
ONYO.
Huu uzi sitaki maombi mabaya. Tutazinguana
Ukiomba mabaya yakupate wewe mwenyewe.
Hekima na busara ndiyo tatizo la Tundu, hakujaaliwa. Endelea kumuombeaMpe hekima na busara ktk kutetea haki za watanzania na imperial ushindi ktk yote yaliyotoka kwako. Katika Jina la Yesu Kristo.
Amina sana mtumishiGod bless Tundu Lissu.
Waovu wote walioshiriki na wanaoshiriki wanaomtesa Tundu Lissu nakuomba Mungu uwape pigo Takatifu ndani ya miezi hii mitatu kuanzia sasa hadi Julai 2025, AMINA.
Amina mkuuBaba ktk Jina la Yesu Kristo umsaidie na kumlinda ndugu Tundu Lisu ili aspate matatizo. Mpe hekima na busara ktk kutetea haki za watanzania na imperial ushindi ktk yote yaliyotoka kwako. Katika Jina la Yesu Kristo.
Uzi wangu nimetoa onyo kuwa kima kama wewe sizitaki hapa.Hekima na busara ndiyo tatizo la Tundu, hakujaaliwa. Endelea kumuombea
Kama wewe pimbi hutaki comments basi bakia ndani ya inbox yako, uandike mwenyewe na ujisifie mwenyewe.Uzi wangu nimetoa onyo kuwa kima kama wewe sizitaki hapa.