MEK_TZ
Senior Member
- Apr 21, 2021
- 183
- 375
Habari Wana JF.
Wengi wetu tumekuwa na maombi tofauti sana juu ya tuliowahi kuwa nao katika mahusiano na hatimae kuachana (ex). Nikianza kwa upande wangu nilikuwa na huyo mrembo wangu tulipendana sana kiasi hakuna ambaye angeweza kuamini Kama Kuna ambaye angeweza muacha mwenzie. Kweli hakuna marefu yasio na mwisho.
Ni maombi gani kila siku huwa unamuomba mwenyezi Mungu ayatimize kwa ex wako toka mmeachana na mpaka leo bado hujajibiwa?

🅹
🅺🅴 )