Maofisa watatu wa ghala la Taifa Arusha wasimamishwa kazi

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Maofisa watatu wa ghala la chakula la taifa wamesimamishwa kazi.

Wamesimamishwa kwa tuhuma za uuzaji mahindi ya msaada.

Maofisa hao wanafanya kazi katika ghala la Taifa la jijini Arusha.
 
ccm hao, monaban anahusika, aibu yao. Huo ndio ule unga alikuwa anagawa kuombea kura. Hiki chama aibu tupu.
 
Back
Top Bottom