Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,585
Dah kua uyaone
Nilikiwa NA jamaa mmoja kanilengesha bank moja mitaa ya manzese tunaanzisha boashara Fulani
Gafla tumemaliza kila kitu peleka chupi peleka sukari peleka barua ya serkl za mitaa
Loh wamekuja wakapelekwa kwenye biashara zetu gafla maofisa awasem wanataka nn kila ukiwahoji tunapata mzigo lini ........
Looh wiki ijayoo Mara wanaitaji certificate za ndoa Mara mke aje NA mdhamini...loh gafla unajua ttume sijui kamati imepitisha this amount sio ile ulioomba
Mnakazi mabosi wabank....NA hii mishahara ya tat 3-4 mnatesa watu wanakuja kututesa ... Mtukajaza yuko single mnataka certificate za bank mliwafungisha nyie♋♌♍♍♈♋♉