KUTIMULIWA MAAFISA POLISI CHUONI kwa wepesi laweza onkana swala dogo, lakini ni picha kamili ya hali iliomo jeshini! kulindana na kupinda kanuni that is the law of the day! hata watoto wanaoingia form 1 wana medical exam, police chuoni waingia tu! kuna uozo mkubwa jeshi hilo, yanayofanikiwa kuonekana is just a tip of the ice berg! au ndio dalili ya mfumo? au kiwakilishi cha jamhuri ya kambale?
nani mwenye elimu/akili finyu. yule ambaye hakuanzisha hivyo vyuo mikoani vya vyeo bandia lakini hakuwapeleka ccp au huyu ambaye hakuanzisha hivyo vyuo na kuwapeleka ccp?Mwema nae elimu ni finyu
Hao wakija huku watakuwa majambazi......
Hili ndo tatizo la kuchukua watu kwa kujuana
most of them wanakuwa hawastahili