Niaje wazeiyaaah..
Mko Bwaxx..
EBANA SAWA..
Naona mko attentive na pazia la VPL linalo funguliwa leo hii (kwa wale wapenz wa soka la bongo... Lazima Stand United tuchukue ndoo msimu huu)
SASA ISSUE IKO HIVI MAZEE :
Niko Na Manzi wangu takriban six months now (toka february)
Pamoja na changamoto zingine ambazo zingine nishawahi kushare nanyi MMU, leo nimekuja na hii tena.
Bila porojo nyingi ni kuwa huyu girlfriend wangu (ambae natarajia panapo majaaliwa awe mchumba then mke wa ndoa) hana kabisa desturi ya kuniomba hela (mizinga).
Sio kwamba napenda nipigwe mizinga LA HASHA.. But wote tunajua mwanamke ni mtu wa kuhudumiwa tuu (even if yuko financially yuko njema) ili mwanaume ujione mwanaume lazima uone pesa yako (kiasi) inatumika (japo wengi hatupendi Kutokana na ugumu wa maisha) kumfanya mrembo wako asmile (kama asemavyo STUNTER).
Anyway, mrembo wangu ana degree ya IT since amalize chuo bado hajapata mishe ya kumuingizia pesa kusema kuwa anaweza kujimudu peke yake..
Yaan kumpa pesa mpaka mwenyew nimuite Nimpe mkononi "shika nunua unachotaka" napo mwanzo alikua mpaka mbembelezane ndipo anapokea...
Nilishamuuliza akasema hapendi kumtegema mwanaume kwa kila kitu...
Ni sawa, LAKIN DUUH...
inafika muda najifeel unconfortable najishtukia nahisi kuna jamaa linahudumia nn (cjaona hizo dalili)
Sasa wakuu wangu (uinjinia wangu naweka pembeni) hii imekaa vipi..
Assume wewe ndio Chief Engineer sasa...
Ni kwamba najishtukia mwenyewe au I have to change something..
#Chief Eng