Manzi wangu hanipigi kabisa mzinga, hii imekaaje mazee!!!

Manzi wangu hanipigi kabisa mzinga, hii imekaaje mazee!!!

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1,899
Reaction score
3,691
Niaje wazeiyaaah..
Mko Bwaxx..

EBANA SAWA..
Naona mko attentive na pazia la VPL linalo funguliwa leo hii (kwa wale wapenz wa soka la bongo... Lazima Stand United tuchukue ndoo msimu huu)

SASA ISSUE IKO HIVI MAZEE :
Niko Na Manzi wangu takriban six months now (toka february)

Pamoja na changamoto zingine ambazo zingine nishawahi kushare nanyi MMU, leo nimekuja na hii tena.

Bila porojo nyingi ni kuwa huyu girlfriend wangu (ambae natarajia panapo majaaliwa awe mchumba then mke wa ndoa) hana kabisa desturi ya kuniomba hela (mizinga).

Sio kwamba napenda nipigwe mizinga LA HASHA.. But wote tunajua mwanamke ni mtu wa kuhudumiwa tuu (even if yuko financially yuko njema) ili mwanaume ujione mwanaume lazima uone pesa yako (kiasi) inatumika (japo wengi hatupendi Kutokana na ugumu wa maisha) kumfanya mrembo wako asmile (kama asemavyo STUNTER).

Anyway, mrembo wangu ana degree ya IT since amalize chuo bado hajapata mishe ya kumuingizia pesa kusema kuwa anaweza kujimudu peke yake..

Yaan kumpa pesa mpaka mwenyew nimuite Nimpe mkononi "shika nunua unachotaka" napo mwanzo alikua mpaka mbembelezane ndipo anapokea...

Nilishamuuliza akasema hapendi kumtegema mwanaume kwa kila kitu...
Ni sawa, LAKIN DUUH...
inafika muda najifeel unconfortable najishtukia nahisi kuna jamaa linahudumia nn (cjaona hizo dalili)

Sasa wakuu wangu (uinjinia wangu naweka pembeni) hii imekaa vipi..
Assume wewe ndio Chief Engineer sasa...
Ni kwamba najishtukia mwenyewe au I have to change something..

#Chief Eng
 
Sio kila mwanamke anapenda kuombaomba.

huyo hawara yako ni mmoja wao wa wasiopenda kuomba omba,

kama unampa anapokea na kama una pesa za kumpa jipangei ratiba ya kumpa.

ila pia usimzoeshe.

unaweza kua unamchukua mnatoka ukimrudsha kwao unamuaachia na pesa kidogo.

ni hayo tu

japo mimi mwanamke akiniomba tu hela tunaachana
 
Ukichunguza matukio yote maakubwa ya wizi hapa duniani utagundua kwamba hayakuwa an overnight mission, yalichukuwa muda na maandalizi ya kutosha...subiri baada ya muda utakuja na uzi mwingine tena e.g ''Usimwamini mwanamke ni matapeli wakubwa'' woman must be provided and protected, hiyo ni natural law....tofauti na hapo kuwa makini sana.
 
Shukuru sana kumpata demu wa aina hiyo maana ni wachache sana kati ya 100,000 utashangaa hata mmoja hayupo huyo apo anajali mtu kwa utu na sio kwa kitu.
 
Uyo kama mimi siwezi kuomba unatakiwa tu mwenywe tu ujiongeze kua kama unazo mpe kidogo mtu wako hongera sana kwa kupata mke mwema
 
Ukichunguza matukio yote maakubwa ya wizi hapa duniani utagundua kwamba hayakuwa an overnight mission, yalichukuwa muda na maandalizi ya kutosha...subiri baada ya muda utakuja na uzi mwingine tena e.g ''Usimwamini mwanamke ni matapeli wakubwa'' woman must be provided and protected, hiyo ni natural law....tofauti na hapo kuwa makini sana.

Hahahaa. Wengine humu bado watoto wa kiume. Wafunzeni uanaume.

Kama hupigwi mizinga yupo anaehudumia au anaepigwa mizinga.
 
Hahahaa. Wengine humu bado watoto wa kiume. Wafunzeni uanaume.

Kama hupigwi mizinga yupo anaehudumia au anaepigwa mizinga.
wanajitia ukipofu kwamba hawaoni...ndo hao wanakuja kulia baadae ''wakuu naombeni ushauri demu wangu kachepuka kwa bosi'' kumbe mtoto kafuata chapaa ya poda.
 
Wengine kwao wa Kishua sasa akuombe nin mtoto Bank account yake inasoma 100,000,000 Viwanja 3 Bunju na Kigamboni Kampuni 2 Zake
 
Usipo wajibika kama boyfriend jua kuna boyfriend mwenzako we jipe moyo 2 nasubli mrejesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom