Manzi anakataa zawadi ninazompa

Manzi anakataa zawadi ninazompa

Naona ananipima tu, kwenye mahusiano sijakuwepo kwa muda kidogo.Nikaamua kuzama kwake.Lemme find out my way.
Kwanza mpotezee kidgo kuna mda tunatumia na njia ya kuringa kidogo kujua upepo unavuma wap

Jarbu kuzizuia hormone hzo mzgo upo tu we andaa mazngra utaula sana

Afu tongoza tongoza na madem weng kdgo unaweza okota wa kufanana nae ambae nae alikuwa akisubr kipanga aje kumnyakua
 
Poole sana
Jitahidi kumpa mda bado ni mdogo haoni umuhimu wa wewe kumpa kitu lakini mda utafika atahitaji na atapenda sana umpe zawadi.
Nakubaliana na wewe, nilivyomsoma hana uhitaji wa vitu sana kwa kuwa bado yupo home
 
Kwanza mpotezee kidgo kuna mda tunatumia na njia ya kuringa kidogo kujua upepo unavuma wap

Jarbu kuzizuia hormone hzo mzgo upo tu we andaa mazngra utaula sana

Afu tongoza tongoza na madem weng kdgo unaweza okota wa kufanana nae ambae nae alikuwa akisubr kipanga aje kumnyakua
Hii fact mkuu.Imekaa poa.
 
Hakuna mahali nimeuliza nifanye nini?Papuchi italiwa tu. Najaribu kushare hii story pengine wazee wa kitengo mna maelezo kuhusu mwanamke kukataa zawadi...
Ngoja tukuulize kwanza, aina ya zawadi unayotaka kumpatia. Itaje kwa jina tuithamanishe.

Isije ikawa ni makorokocho yasiyo thamani ambayo wewe unayaita zawadi!

Kukataa penzi, hongo na hizo zawadi kwa mwanamke ni degree ya kujipandisha hadhi, huoni ilivyokuuma hadi umeingia Jf kutafuta muarobaini?

Mwanamke 'wa maana' ndiyo anatakiwa hivyo kuwa.
Zawadi aliyokupa wewe ya kuitikia salamu zako, kufika kwako, tabasamu lake na kuruhusu kum touch touch ni zawadi kubwa sana na amekwisha kuonesha nia ya malengo mema na wewe na wala si kuchezeana.

Mfuatilie polepole wala usiwe na pupa naye akakuona 'kahuni' kisha akapeperuka.
Embu ingiza gia ya kuoa tuone, au na wewe hauna mpango?
 
Kuoa nina mpango, lakini siwezi kumwambia kwa sasa kwa kuwa tuna wiki mbili tu kwenye mahusiano,ataona nazingua kama akina fulani.Najua ananipenda sana tu, siwezi kula mzigo kwa kisingizio cha kumuoa,haitatokea mkuu.Huyo nitamla na nitammiliki tu.
Ngoja tukuulize kwanza, aina ya zawadi unayotaka kumpatia. Itaje kwa jina tuithamanishe.

Isije ikawa ni makorokocho yasiyo thamani ambayo wewe unayaita zawadi!

Kukataa penzi, hongo na hizo zawadi kwa mwanamke ni degree ya kujipandisha hadhi, huoni ilivyokuuma hadi umeingia Jf kutafuta muarobaini?

Mwanamke 'wa maana' ndiyo anatakiwa hivyo kuwa.
Zawadi aliyokupa wewe ya kuitikia salamu zako, kufika kwako, tabasamu lake na kuruhusu kum touch touch ni zawadi kubwa sana na amekwisha kuonesha nia ya malengo mema na wewe na wala si kuchezeana.

Mfuatilie polepole wala usiwe na pupa naye akakuona 'kahuni' kisha akapeperuka.
Embu ingiza gia ya kuoa tuone, au na wewe hauna mpango?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom