COMPTON BLVD
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 681
- 617
Huyu mtoto nimekutana naye wiki iliyopita nikiwa njiani kurudi ghetto,niliomba namba akanipa.Ni binti mwenye umri wa miaka 20, amehitimu kidato cha 6 bado hajaenda chuo.
Baada ya hapo, jioni nilianza kumpigia tukaongea sana.Siku mbili baadaye nikamwambia aje ghetto akafika, baada ya mazungumzo kidogo nikaanza kumlainisha ili anipe tunda akachomoa lakini tayari nilikuwa nimemueleza kuwa nimemzimikia.
Siku zilizofuata mawasiliano yakawa mazuri zaidi hadi sasa,nisipomtafuta ananipiga.Juzi tena nikamwambia afike ghetto akakubali.Baada ya kufika tukaongea kidogo then nikaanza kumchezea,akawa anabisha kiaina mara analainika.
Nilijaribu kumvua nguo akawa anasema nisifanye hivyo.Nikamwambia "Uwe huru tu, jiachie." Tulikula romance nikamchezeaaa wapi,anabisha kumvua nguo, anasema "Subiri siku nyingine." Basi nikaamua kupotezea.
Cha kushangaza nikitaka kumnunulia chochote anasema "Acha tu,usijali siku nyingine." Nampenda na anajua,maana yuko fasta kunielewa napoongea,ila tunda amechomoa kunipa.Lakini kwa vitendo anavyofanya anaonyesha wazi ananipenda.

jitasmini na zawadi yako