Manzese Kwa Mfuga Mbwa, tobaaa

mbona hawko serious mkuu,au uliwaambia unataka kuwapiga picha!!!
 
Ndondi ndio zinaanza mkuu

mmmh!!kwa jinsi ninavyo pafahamu kwa mfuga mbwa hapo sasa kungesha furika watu huku watoto wakiruka ruka na kushangilia!!!anyway nitapita baadaye kuangalia wanaendeleaje!!!
 
Naona ni Disco au ngoma ya kienyeji mbona huyo wa kulia mwenye Blauzi nyeusi anacheka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…