Nimeikuta kwa Jide.blogspot Raia wamegoma kutoa misaada kwa omba omba baada ya ile story ya manyoya ilioenea jijini Dar es salaam. Sasa watoto wanalala barabarani kama hivi, ishara ya kwa njaa kali. Imani zingine bwana, mi naona tuwasaidie tu.

kimey waambie bwaana si kila bara bara ina lami
wengine kuingilia majumbani mwetu atuweki lami
ila angalia mpwa hao wasije kuwa umewaajiri kama walinzi usiku wakaamua kujilalia mpwa
inawezekana, maana naona hiyo gari T 150 ANM imegota haiwezi kwenda mbele kuna kigingi ( ona magururdumu ) na pembeni chini kushoto, mguu wa kulia wa mtoto mwenye T shirt nyrkundu, kuna roadsign ina maana hata hiyo gari nyeupe ikeendeshwa itagonga hiyo signpost.
kimey waambie bwaana si kila bara bara ina lami
wengine kuingilia majumbani mwetu atuweki lami
ila angalia mpwa hao wasije kuwa umewaajiri kama walinzi usiku wakaamua kujilalia mpwa
Ni kweli mkuu na mimi naamini misemo ya watu kwamba ombaomba ni mradi wa watu,maan mtu mzima kama huyu anawalaza watoto chini kwenye eneo la parking na kudanganya umma hapo ni barabrani,ni ajabu kabisa hii