Haya ndio ya kichina hasa, oh! vua sidiria... sitaki ujue ndio hivyo tena....
Mamaaaaaa!! Funga yangu jamani.
Haya ndio ya kichina hasa, oh! vua sidiria... sitaki ujue ndio hivyo tena....
Kuna vitu huwa tunavichukulia for granted wakati tunavyo. Kuna dada mmoja nilimpatia titi moja tu la bandia pamoja na brazierre yake. Alinishukuru hadi nikaona aibu, kwa machozi kabisa. Anaongelea kwa kila mtu.
Lets not mock this, hii kwa aliekatwa matiti ni dhahabu! Matiti yanaweka shape kwenye kifua, yasipokuwepo ni disaster!.

Hizi zinauzwa wapi na shilingi ngapi mkuu?
Jamani jamani jamani jamaniiiiii
ni kweli dada....Kuna vitu huwa tunavichukulia for granted wakati tunavyo. Kuna dada mmoja nilimpatia titi moja tu la bandia pamoja na brazierre yake. Alinishukuru hadi nikaona aibu, kwa machozi kabisa. Anaongelea kwa kila mtu.
Lets not mock this, hii kwa aliekatwa matiti ni dhahabu! Matiti yanaweka shape kwenye kifua, yasipokuwepo ni disaster!.
...siku hizi kila kitu kinapatikana dukani
Yellow?!!!! Why not pink?
Na nyie mnavifurahia?
Sasa Kabaang nayo ipoje?
lol...kutafutiana BAN huku...hahahah!!!
Hii ni kwa watu waliokatwa matiti labda kwa kansa na magonjwa ya aina hiyo
Zamani ilibidi waweke matambara kifuani, mie kuna mtu namfahamu alikuwa anaweza matambara
Lakini ngepata manyonyo haya angefurahi sana.
Mie nimehisi kinyaa ujue....yaani i cant wear or use such things is....I love the way GOD has made me...no matterhahaha...kwa mwanaume mkamilifu hawezi kucheza na hizo toys