Mkuu nenda kamtetee ndugu yako wa Forex kachafuliwa tena.Tbc wanarusha uzinduzi ila kurusha bunge live hawawezi??
Unabishana na mtu anayeshinda huku kila siku ngoja utaumbuka mda si mrefuAcha kua msukule wa system wewe...kule panaitwa MERERANI hao waandishi uchwara wa TBc wasikufanye uwe mtumwa wa fikra...
Slavish Mentality inaicost sana nchii ya Tanganyika
Tatizo la wakandarasi wa ndani janjajanja nyingiMimi nikiwa mkandarasi siungi mkono suala la Suma na TBA na TEMESA kupewa kandarasi zote za serikali. Hili suala linatuumiza sana wakandarasi wazalendo. Ila kwa suala la Mererani naunga mkono jitihada za mheshimiwa Rais moja kwa moja. Watu walikosa uzalendo ikafikia wakati Tanzanite inauzwa zaidi India na Kenya kuliko Tanzania. Niliwahi kwenda Israel nikakuta Tanzanite inauzwa sana. Kwa hili namuunga mkono Mkuu, amefanya la maana sana. Tujifunze uzalendo kidogo ndugu zangu.
Wa RichmondMafisadi ya MV D, salaam au mafisadi yapi?
Lengo la kuwa mubashara ni watanzania wote waisikieHotuba kuwa mubashara faida yake ni ipi kiasi kwamba ingetolewa bila mubashara kungekuwa na mapungufu kadha wa kadha?!
Wasikie ili iwe nini hasa mantiki yake?Lengo la kuwa mubashara ni watanzania wote waisikie
Ni sawa na kuliza kwa nini kuna media duniani?Wasikie ili iwe nini hasa mantiki yake?
Je wakisikia na wakiwa hawajasikia nini athari chanya ama athari hasi yake
Hilo swali ndio kusema limekushinda kulijibu au hujalisikia vizuri?!Ni sawa na kuliza kwa nini kuna media duniani?
Ukinijibu umhimu wa media na platform mbalimbali za media5 duniani na mi ntakujibu umhimu chanya wa watanzania na ulimwengu wote kusikia
Ni haki ya kila Mtanzania. Tumia akili.
Nmeshakujibu au hujui kunamna nyingi ya kujibu maswali hiyo inatitwa swali kwa swaliHilo swali ndio kusema limekushinda kulijibu au hujalisikia vizuri?!
Narudia tena nitajie hasara au faida taifa litapata asipoongea kwenye kamera (mubashara)?
Umejibu nini?Nmeshakujibu au hujui kunamna nyingi ya kujibu maswali hiyo inatitwa swali kwa swali
Urodhoresha umhimu wa media ndo utajua kunu umhimu gani wa kuzindua mubasharaUmejibu nini?
Unatetea kitu usichoweza kukiteteaNmeshakujibu au hujui kunamna nyingi ya kujibu maswali hiyo inatitwa swali kwa swali
Taja faida hapa au hasara zake kama wewe hujamuona kwenye cameraUrodhoresha umhimu wa media ndo utajua kunu umhimu gani wa kuzindua mubashara
Media zisipokuepo utapata hasara gani?Unatetea kitu usichoweza kukitetea
Kwanini aonekane mushara wakati wa kuzindua ukuta?
Taifa litapata faida gani au hasara gani asipoonekana mubashara?
Hahahaha mnashabikia tu vitu vya hovyo hovyo mtu kuuza sura kwenye screen kila tukio lkn hata hujui namna ya kuutetea msimamo wako bhana!! Pole sanaMedia zisipokuepo utapata hasara gani?
Moja ya faida iloyopatikana ni ujumbe kufika kwa watanzania na wadau wa sekta ya madini.Taja faida hapa au hasara zake kama wewe hujamuona kwenye camera