Hospital ya Wilaya ya Manyara..?Madkatari wa Hospitali ya wilaya ya Manyara wanadai fedha zaidi ya milioni 70 ikiwa ni malimbikizo ya fedha ya posho ya dharura. Watishia kugoma wasipolipwa.
Source: ITV habari
wanafiki,kwa nini wasigomee uchache wao unaosababisha vifo kwa wateja wao.
Mimi naitisha maandamano ya madaktari Tanzania nzima wakini ulimboka poa tuu :target: