Ndio vinaweza kukufikia salama salimini. Mimi nimefanya manunuzi kadhaa nimefanikiwa. Ila kuna transaction ya mwisho haijawa successful yaani sijapata mzigo wangu. Kuna uhuni wauzaji wanaufanya
Yaan hiyo complain inatakiwa utoe ndani ya two months baada ya kufanya transaction na kama bado mzigo wako haujafika. Sasa mimi nilichelewa zaidi halafu yule muuzaji akawa amesha funga biashara hayupo tena.