Wakati ukiendelea kupata ushauri wa hapa na pale kama JIJI letu ITV
Hakikisha kwapa lako linapita na huyu kiumbe...unaweza ukajikuta unasahau hata hiyo pafyumu kwa utamu wa harufu utao tokea hapa.
zipo flavour tofauti ila ni MUST HAVE PRODUCT kwa kidume mpenda kutesa pua za wengine
View attachment 1200969
bEI PULIIIIIZZZCurrently rocking Acqua di Gio, Absolut. By Giorgio Armani.
Niliisahau kitambo, nimeikumbuka leo. So fresh and so clean.
15,000 tuBei?
Mkuu kitu cha creed aventus ushagumiana nacho??Currently rocking Acqua di Gio, Absolut. By Giorgio Armani.
Niliisahau kitambo, nimeikumbuka leo. So fresh and so clean.
Niliinunua Macy's $100, hapo ilikuwa imepunguzwa bei.bEI PULIIIIIZZZ
Mkishauri wapendwa msemege na bei sio mtu anaenda anakutana na kitu inauzwa bei sawa na simu anayotumia.
Ndio mambo nlokua nayasema mimi...kitu kipo kwenye discount halafu bei ndio hiyo...acha nipambane na Poda mimiNiliinunua Macy's $100, hapo ilikuwa imepunguzwa bei.
Acqua di Giò Absolu Eau de Parfum Men's Cologne - Armani Beauty
A sensual and fresh fragrance for men with a blend of marine notes and patchouli celebrating the union between fresh water and warm wood.www.giorgioarmanibeauty-usa.com
Hapana, nakiona ila sijakijaribu.Mkuu kitu cha creed aventus ushagumiana nacho??
Nilitaka kuuliza mbona bei yake imechangamka sana,ina kipi cha utofauti..Hapana, nakiona ila sijakijaribu.
Umekizimikia?
Hii kitu kama hupendi compliments za wake za watu bora ukae nayo mbali. Inanukia vizuri sana halafu inadumu sana. Kuna siku nilipiga nikawa nainusa harufu yake baada ya 16 hours, bila kurudia kuipiga tena.Ndio mambo nlokua nayasema mimi...kitu kipo kwenye discount halafu bei ndio hiyo...acha nipambane na Poda mimi
Mambo ya quality, inanukia vizuri, ina last long, halafu nilipata a good deal chupa kubwa na ndogo double package $100 wakati kubwa tu ni $135 kawaida.Nilitaka kuuliza mbona bei yake imechangamka sana,ina kipi cha utofauti..
Wapi?Tafta Black Opium iko kwa 50K ni nzuri sana
Bei yakeTajiwa zoooote ukimaliza nenda dukani kaulizie "David Off."
Utarudi Hapa Kusimulia
Currently rocking Acqua di Gio, Absolut. By Giorgio Armani.
Niliisahau kitambo, nimeikumbuka leo. So fresh and so clean.
Inategemea umenunua wapi. Inawezekana hujapata kitu chenyewe. Watu wanalalmika sana mitandaoni wanaagiza wanapata famba, si kitu chenyewe. Ndiyo maana mimi nakwenda Macys napata kitu na boksi.Hii Aqua di gio Absolu imefifia mno!! Nilijuta kuinunua bora upate original version au Essenza
Inategemea umenunua wapi. Inawezekana hujapata kitu chenyewe. Watu wanalalmika sana mitandaoni wanaagiza wanapata famba, si kitu chenyewe. Ndiyo maana mimi nakwenda Macys napata kitu na boksi.
Halafu, cologne huwa ina react na kila mtu tofauti. So cologne moja inaweza ikanata vizuri kwenye ngozi ya ntu mmoja, halafu ukawa haikai sana kwenye ngozi ya mtu mwingine.
Pia, nchi/kipindi cha joto na baridi huwa tofauti.
Essenza ninayo pia (now you mentioned it I gotta look for it) lakini hii Aqua kwangu ina point zote muhimu kuanzia kunukia vizuri, projection mpaka longevity.
Ninachooenda kununua Macy's kuna wadada wale wanakuhudumia vizuri, wanakujibu maswali yako yote, wanakupulizia unavyotaka kuinusa kwanza kabla ya kununua kwa hiyo unanunua kitu ambacho harufu yake unaijua, si unajaribisha tu.