Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,589
- 7,353
Umesahau cologne mkuuMy dear,
hebu nidadavulie tofauti za haya maneno;
- Perfume
- Deodorant
- Spray
- Roll on (hii najua, lol)
- eau de toilette (very confusing)
Lacoste naielewa saanaHugo Boss,Lacoste
Wewe unatumia ipi?
Mkuu nilikuwa natumia issey miyake nikiwa dar tangu nihamie huku wanging'ombe nimeikosa, kama unazo bainisha bei zako na namna ya kunifikishia mzigo.royale by rasasi 35000
blue by rasasi 30,000
ocean by lonkoom(100mls) 20,000
forever by lonkoom (100mls) 20,000
sitti al habaieb (100mls)30,000/= 8181 men (30mls)13000/=
0626309195
Mkuu nilikuwa natumia issey miyake nikiwa dar tangu nihamie huku wanging'ombe nimeikosa, kama unazo bainisha bei zako na namna ya kunifikishia mzigo.royale by rasasi 35000
blue by rasasi 30,000
ocean by lonkoom(100mls) 20,000
forever by lonkoom (100mls) 20,000
sitti al habaieb (100mls)30,000/= 8181 men (30mls)13000/=
0626309195
Sina.. zipo hizo nlizopost...Mkuu nilikuwa natumia issey miyake nikiwa dar tangu nihamie huku wanging'ombe nimeikosa, kama unazo bainisha bei zako na namna ya kunifikishia mzigo.
Picha mkuuEnergetic perfume ndio ninayo itumia since kitambo ingawa now fake nyiiingi, ingawa Luna wapemba pale Kkoo wanauza og asee.
.Royale blue mdo nayaitumia kwa sasa
25000Bei gani.?
.
Wapi inapatikan kwa DSM25000
Huku kwetu nyanda za juu kusini zinapatikana maduka ya urembo karibia yote kwa dar nenda mlimani cityWapi inapatikan kwa DSM
HatariousVIP MEN its fantastic
25,000/=Bei gan hiyo davidoff cool water