Kule tandale kwa mtogole hiki kitu kinge faa sana,maana huwa kuna tema hewa mbaya sanaView attachment 332773
Huo unaotoka hapo sio moshi, hiyo ni Perfume
China kila asubuhi hupita gari lenye kupulizia manukato mitaa kwa lengo la kuwafanya wananchi wajihisi vizuri na utulivu.
Kwanini iongeze,badala ya kupunguza?NADHANI INGEONGEZA UKUBWA WA TATIZO