Manufaa ya result slips ya O/A level

Manufaa ya result slips ya O/A level

Sosthenes Maendeleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
2,741
Reaction score
1,723
Habari za majukumu wanajf? Mnaoumwa poleni sana na Mungu awaponye na azuie nguvu za ibilisi shetani.

Mimi nimehitimu O level mwaka 2009 na A level 2012. Huwa tukihitimu O level na matokeo yakitoka tunapata result slip ambayo tunaenda nayo shuleni A level school kama kitambulisho lakini pia tukihitimu A level matokeo yakitoka tunapata result slip ambayo tunaenda nayo chuoni.

Swali ni, je hizi result slips zinatumika wapi baada ya certificates kutolewa na MOEVT au ndio hazitumiki tena maana zina duration validity? Naombeni jibu na mjadala nao pia unakaribishwa.

Asanteni.
 
Habari za majukumu wanajf? Mnaoumwa poleni sana na Mungu awaponye na azuie nguvu za ibilisi shetani. Mimi nimehitimu O level mwaka 2009 na A level 2012. Huwa tukihitimu O level na matokeo yakitoka tunapata result slip ambayo tunaenda nayo shuleni A level school kama kitambulisho lakini pia tukihitimu A level matokeo yakitoka tunapata result slip ambayo tunaenda nayo chuoni. Swali ni, je hizi result slips zinatumika wapi baada ya certificates kutolewa na MOEVT au ndio hazitumiki tena maana zina duration validity? Naombeni jibu na mjadala nao pia unakaribishwa. Asanteni.

Umehitimu form 6 ila umeshindwa kuchanganua jambo dogo it's a shame to our education system.......
 
Hazina kazi tena na ndo maana zina kikomo cha muda wa kutumika. Havitolewi vyeti moja kwa moja ili kwa wale watakao-appeal matokeo yao na matokeo yakabadilika bas cheti kikitengenezwa kiwe na matokeo yanayomridhisha mtahiniwa bila kuwa na malalamiko
 
watu kama nyie mnasababisha hii nchi ionekane ya wapuuzi.....shame shame shame mtu kama ww kuuliza hili swali huku
 
Baada ya vyeti kutolewa Results Slips (Notification of Examinations Results) hazina kazi tena.
 
Back
Top Bottom