Manufaa na madhara ya sinema za ngono

Manufaa na madhara ya sinema za ngono

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
278
Mpo?

Nimepotea, ila si kwa ubaya.

Kuna jambo naomba kufahamu kutoka kwenu wataalamu.

Je, hizi sinema za ngono zina manufaa na madhara gani hasa kwa mtu aliyeoa kama mimi.

Nilipata kuangalia moja tu ya kihindi, KARMA SUTRA ambayo haikuwa mbaya vile.

Nasikia za kizungu si zuri lakini endapo mtanipa ushauri wa kuangalia huenda nikajaribu.
 
MPO?

Inashangaza sana mtu mzima aliyeoa anapouliza swali kama.mtoto anayeanza kubarehe!
 
Huyu jamaa bwana... Yaani anataka tumpe ushauri ili aende akaangalie picha za ngono...

Alafu ulivyoangalia hiyo ya kihindi ulishauriwa na nani sasa
 
Hello bro, Kuna madhara mengi sana ya kuangalia hz sideman kuliko faida.

Mengi yenye kufanyika pale ni unrealistic wanachukua muda mwingi sana kutengeneza scene moja,so unaweza ukadhani so ukijilinganisha na wale actors unaweza kujiona hujui kitu.

Pili ukizoea kuangalia sana unakua mtumwa kiasi kwamba hata tendo lenyewe unaliona kama rubbish.

Tatu kama umeoa unaweza kuharibu ndoa kwa kuiga uchafu unaofanyika pale

Kwa kirefu hz filamu hazina somo lolote zaidi ya hasara tu.
 
MPO?
Nimepotea, ila si kwa ubaya.

Kuna jambo naomba kufahamu kutoka kwenu wataalamu.
Je, hizi sinema za ngono zina manufaa na madhara gani hasa kwa mtu aliyeoa kama mimi.

Nilipata kuangalia moja tu ya kihindi, KARMA SUTRA ambayo haikuwa mbaya vile.

Nasikia za kizungu si zuri lakini endapo mtanipa ushauri wa kuangalia huenda nikajaribu.

hizi ndo sinema za magoli ya mkono kwa wale wanafunzi wa bweni, kuwa makini kijana ngono zitakuua.
 
Endelea tu.
Itafikia point utotaka kujua wanafanyaje, bali wameanzaje
 
Zinapelekea kupoteza nguvu za kiume maana kadri unavyoziangalia ndivyo unavyozoea,mwanzo ukiangalia unaweza kuwa unasimamisha ila kadri siku zinavyoongezeka unaona kawaida then unaishiwa hamu.
 
They had me thinking if you ain't hitting it with a white-T, some shades, and Tim-boots on, then you ain't doing it right.

They had me thinking, if you ain't got a hang you can swing like a pendulum, slapping your knees with it, you ain't no man enough.

They had me thinking that, if she ain't hollaring in the highest pitch possible, then you're only playing.

Porn will only mess you up, somewhat, somehow. But sex lessons are alright.
 
MPO?
Nimepotea, ila si kwa ubaya.

Kuna jambo naomba kufahamu kutoka kwenu wataalamu.
Je, hizi sinema za ngono zina manufaa na madhara gani hasa kwa mtu aliyeoa kama mimi.

Nilipata kuangalia moja tu ya kihindi, KARMA SUTRA ambayo haikuwa mbaya vile.

Nasikia za kizungu si zuri lakini endapo mtanipa ushauri wa kuangalia huenda nikajaribu.

Mkuu kwa sasa tuko bize na harakati za kuitoa CCM madarakani!!! Haya mambo ya kijinga kwa sasa hayana maana subiri mpaka Lowassa atapoapishwa ndio ulete mada kama hizi hapa jf!!! Kaa relax, na umchague lowassa na sio kujadili maswala kama haya!!!
 
Umeoa halafu unaomba ushauri kama huu? Kifupi ni kwamba HAZINA FAIDA WALA UHALISIA ILA ZINA HASARA NA LAANA TU kama alivyoelezea mchangiaji Aziiz hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
MPO?
Nimepotea, ila si kwa ubaya.

Kuna jambo naomba kufahamu kutoka kwenu wataalamu.
Je, hizi sinema za ngono zina manufaa na madhara gani hasa kwa mtu aliyeoa kama mimi.

Nilipata kuangalia moja tu ya kihindi, KARMA SUTRA ambayo haikuwa mbaya vile.

Nasikia za kizungu si zuri lakini endapo mtanipa ushauri wa kuangalia huenda nikajaribu.

Leo jaribu video kutoka naughtyamerica,brazzers,pornhub,xvideos,redtube etc..hutojuta kabisa.Haina madhara kabisa,sema jiandae kufunga magoli ya mkono kama CCM.
 
We unataka uanze kuharibu ndoa yako.Ukuangalia zile utataka uige zile style na jinsi wanavyofanya na hapo ndo tatizo litakaopanzia maana kuna mambo kule huwezi kufanya kwa mkeo.Kumbuka zile ni movie ukizileta katika maisha ya reality lazima upande mmoja utakereka mana utataka unayoyaona ujaribu kwa mkeo na akishindwa utaanza kuona hakufai na hajui mapenz na hapo baadae utapoteza kabisa hisia na yeye.Take care
 
shauri lako kama huziangalii ukapata maarifa huko
siku mkeo akitumiwa kwenye Whatsaap link ya rahatupu ndipo utakapogundua kabadilika
huwezi ishi mtaa mmoja aua Mji mmoja bila ya kuvinjari na kutalii km sisi wenzako tumeziona picha za kina mandingo na mashine za ajabu
 
huyu kaoa mkono labda.
mvue mkeo nguo muigize na nyie kuliko kuangalia. ina madhara sana kisaikolojia mkuu. tena muombe MUNGU akusamehe na akusaidie utoroke huko.
 
zitakusisimua sana... utazizoea na itafika wakati masisimko utapungua kiasi kwamba hata mkeo afanye nini wala haupati hamu ya ku-sex naye...

tumia akili achana nazo hizo... usijaribu sumu kwa kuionja
 
Back
Top Bottom