Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,710
- 35,537
Duh! Kuwalipa wachimba kaburi.... wanaume wa dar mna tabuWananzengo embu tujuzane hapa kidogo, hivi mantiki ya kutoa rambi rambi ni ipi?
Ninadhani rambi rambi ingekuwa inahitajika kufanikisha shughuli nzima ya mazishi kuanzia ununuzi wa sanda, pesa ya kuwalipa wachimba kaburi, vyakula kwa watu watakao fika msibani nk.
Sasa inakuaje msiba umeshaisha lakini kuna watu bado wanaulizia rambi rambi ,hii imekaaje?Ukiuliza unaambiwa ni pesa ya kumfariji mfiwa , sasa suala la kujiuliza hapa ,je thamani ya marehemu inalinganishwa na hizo pesa za rambi rambi?
Wengine kipindi mtu anaumwa kumchangia pesa ya matibabu wanaona shida ila akishakufa ndugu macho yanawatoka kulazimisha rambi rambi.
Sasa kwa unavyojua wewe kaburi linachimbwa bure?Duh! Kuwalipa wachimba kaburi.... wanaume wa dar mna tabu
Umeongea pointi kwa kiasi fulani.Nadhani nikwasababu kifo huwa kinatokea ghafla na mtu anakuwa hakujiandaa hivyo nikama kumsupport tu kucover baadhi ya cost
Hahaa huku mikoani wananzengo tunachimba kabur wenyeweDuh! Kuwalipa wachimba kaburi.... wanaume wa dar mna tabu
Kwa hiyo unaona sifa?Hahaa huku mikoani wananzengo tunachimba kabur wenyewe
Kaburi wanachimba vijana wa mtaa husika ulipo msiba haina malipo.... Dar mpaka kulia mnalipa watu walie msibani...Sasa kwa unavyojua wewe kaburi linachimbwa bure?
Typical wa Dar..!Kwa hiyo unaona sifa?