Mansour fande

Mansour fande

Kisiwa 72

New Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Kama nahitaji kuwa mwana hisa kwenye taasisi ya fedha mfano CRDB ni kiasi gani natakiwa kuanza nacho , na hadi kupata gawio inachukua mda gani
 
Kama nahitaji kuwa mwana hisa kwenye taasisi ya fedha mfano CRDB ni kiasi gani natakiwa kuanza nacho , na hadi kupata gawio inachukua mda gani
Huwa hakuna kiwango maalum Cha mtaji.
Kila mtu ananunue kwa kiwango chake Cha mtaji alichonacho.
Hao CRDB watapanga bei ya kila hisa moja labda kwa mfano watakwambia kila hisa moja ni sh. 200,Sasa wewe ndio utaamua ununue hisa ngapi kwa idadi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom