Kizungu huku mnachezeana vifanyio?hahaaaa!
si anajua mi shemejio
tunaishi kithungu sisi
Erickb52 usijali!
Haahahahaaaa
Kizungu huku mnachezeana vifanyio?
Mi sitaki naenda kumwambia Ruttashobolwa aisee maana shiwezi kuficha hii siri!
Haahahahaaaa
bado mtoto huyu anatakuwa apewe akina nanii tu wanamtosha!
Bora ivunjike uhamie Airtel(Kwa manoah ) mazima kuliko kusababisha mbanano na raia wema ( Ruttashobolwa )yani wewe unavunja ndoa
yangu kimachomacho
coz ni uongo uliotukuka!
Heheheheee Hausi Geli wanamfaatumpe kina nani?
4m 4 ndio saizi yake nini hahaa!
mi thimooo!
Bora ivunjike uhamie Airtel(Kwa manoah ) mazima kuliko kusababisha mbanano na raia wema ( Ruttashobolwa )
Bora ivunjike uhamie Airtel(Kwa manoah ) mazima kuliko kusababisha mbanano na raia wema ( Ruttashobolwa )
Heheheheee Hausi Geli wanamfaa
hahaaaa!
nikae kimya mie
ngoja akuje manoah mwenyewe!
hapo sawaWale hausi geli wa ma white house ndio anao maanisha shemeji yangu Passion Lady
Kua na mapenzi na shemeji yako ni makosa?
Shemeji, huyo kalewa ndofyu za toka jumamosi hadi leo, asikuumize kichwa
angalia usije potea..