Round 1 : mpambano umeanza kwa spidi sana wote walikuwa na game ya kuviziana kama spidi itakuwa hivi round zote bila shaka tutapata kuona match kali sana.
Round 2: bradley kapelekeshewa makonde ya usoni ya fasta fasta na bila ya kutegemea kamba alikuwa anaangushwa bila shaka mnny kachukua pointi kwenye round hii
round 3: hii imekuwa 50 50 kwa wote
round 4.:haina ubishi round hii bradley kachukua pointi za kutosha ingawaje anapigana kwa hasira alkini manny ameshindwa kuzuia makonde ya haja aliyokuwa anayatoa bradley