Fstborn
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 507
- 527
Ah...bora ukae kmya ndg yaonesha ww c mtu wa ndondi hao ulowataja na Joshua wp na wp?Naaomba Mayweather na Pacquiao VS Joshua. Watapigika vibaya hawa watu
Ah...bora ukae kmya ndg yaonesha ww c mtu wa ndondi hao ulowataja na Joshua wp na wp?Naaomba Mayweather na Pacquiao VS Joshua. Watapigika vibaya hawa watu
Mm pia nimemshangaa!Inaonesha hujui chochote kuhusu masumbwi mkuu
Uzito tofauti so hawawezi kutanaNaaomba Mayweather na Pacquiao VS Joshua. Watapigika vibaya hawa watu
Hapana mkuu bado kidogo amtoe kwa knockout huyo mzungu basi tu sijui nni kilitokea ila mechi ilibidi iishe round ya 9PACQUIAO KWISHA HABARI YAKE