Kwa sasa, binadamu ametengeneza chombo chenye kasi ya juu kabisa. Kwa chombo hicho cha kasi kabisa kuundwa na mwanadamu kinatumia miezi 6 kufika sayari ya Mars.
Aidha, kuna sayari nyingine ambayo mazingira yake yanataka kufanana na mazingira ya dunia yetu. Ili kuifikia sayari hiyo iliyogunduliwa na wataalam wa anga za juu wa Chile, itamchukua mwanadamu miaka 1000 ili kuifikia sayari hiyo.
Binadamu akiweza kutatua suala la muda, nadhani iko siku atafika sayari ya mars.