Manji vipi uwanja wetu

Manji vipi uwanja wetu

Naanza kuamini kua hawa viongozi wanaoziongoza yanga na simba wote wanaingia kwajili ya maslahi yao..

Manji ulituahidi uwanja wa yanga utanza jengwa mwezi wa 6 mwaka huu,. Hadi sasa sio hata kitu apa jangwani,.

Je manji nawe unataka tukuweke kundi la walagai kama rage hapana staki ufike huko.

Sioni cha maana ulichokifanya toka ufike yanga,. Zaidi ya ahadi za kila siku,. Tumechoka na ahadi za kwenye soka tunataka vitendo ,. Tunataka uwanja kama hela imepungua twambie mashabiki tujichange chochote kwajili ya yanga,.

Wewe endelea tu kuuliza uliza kama hajasusa aache kutoa hela za kuhonga marefa sijui hata huo ubingwa mtachukuaje.
 
20111221_121034.jpg

Uwanja ujengwe hapo?

mafuriko fc
 
Back
Top Bottom