Manji vipi uwanja wetu

Manji vipi uwanja wetu

Picha ya lini hii.....??
Hukupita walau form II ukasoma Land Reclamation ya Netherlands?



Mkuu umeuliza Swali japo ni la kizushi na kishabiki zaidi form two inaingiaje hapo anzisha thread yako inayohusu land reclamation ya holland kwanza tuijadili.... hapa tupo Tanzania eneo la Jangwani ni la Mafuriko na Eneo la Netherland lipo chini ya usawa wa bahari... hapo Jangwani Serikali ilitoa tangazo watu wahame si mahara Salama..... kwani ni mkondo wa Maji.... na kila time ya maji yaki jaa lazima kuna hasara kubwa hutokea.... unataka kusema Manji anaweza kuwa na akili Mbuzi sababu once alishaanza kujenga hapo hadi mashabiki wakaanza kufurahi na maji yalipokuja wakasahau hiyo habari wakati Mwingine msiwe mnajiingiza kichwa kichwa kwenye kuchangia...

Unajifanya unajua! kumbe Unaungua jua!

indoor.jpg

Kama uwanja ndio utakuwa huu basi eneo halali la Yanga haliwezi toshea hapo itabidi waombe serikalini eneo zaidi ambapo ndio imekatazwa kabisa kujengwa...... huhuhuhuhu


Dar es Salaam. Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa sababu kubwa ya kuchelewa kuanza ujenzi wa uwanja wao wa kisasa ni kwa sababu hawajapata jibu kutoka Serikali kuhusiana na maombi yao ya kuongezewa eneo la ujenzi wa uwanja huo.

Klabu hiyo awali ilitangaza kuanza ujenzi wa uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 40,000 mwezi huu kwa kupitia Kampuni ya Beijing Cosntruction Engineering Group (BCEG) kutoka nchini China, ambayo mwishoni mwa mwaka jana ilisaini makubaliano ya upembuzi yakinifu wa uwanja huo uliopewa jina la (Kaunda Stadium).







Choo cha Yanga
 
Ujawai ona hotel imejengwa baharini, fikiria mara mbili
Hiyo unayoona wewe watu wamejenga ni watu wenye pesa sio pesa za Manji za kusubiri anunua jengo la NSSF kwa bei poa then alijenge na kuliuza kwa bei mara hamsini zaidi...

Dubai watu wana pesa na si za kufikirika au za Wizi...kama Bongo ndio maana tunashangaa sana mkipigiwa Siasa za kujengwa uwanja Jangwani eneo la Mafuriko na si ruhusa pale kwa usalama wa watu waishio jirani.... Waingereza walitawala nchi hii waliliona hilo eneo wakaliachia mbali... sasa tuone huyo muhindi aliyewadhurumu klabu yenu kama atajenga kitu hapo mamangu nakuambia
 
Mkuu, ungesema au kuuliza issue ya uwanja imefikia wapi ingetosha. Hayo mengine ya ziada hayana sababu. Ndio maana yangu.

asante mkuu basi apo nimepotea ila so sn, ila ujumbe umefika kwa walengwa
 
Acha wivu we maharage, mambo ya yanga hayakuhusu, nyie subirin uwanja wenu wa kituruki pale bunju itakua miaka 250 ijayo
Hiyo unayoona wewe watu wamejenga ni watu wenye pesa sio pesa za Manji za kusubiri anunua jengo la NSSF kwa bei poa then alijenge na kuliuza kwa bei mara hamsini zaidi...

Dubai watu wana pesa na si za kufikirika au za Wizi...kama Bongo ndio maana tunashangaa sana mkipigiwa Siasa za kujengwa uwanja Jangwani eneo la Mafuriko na si ruhusa pale kwa usalama wa watu waishio jirani.... Waingereza walitawala nchi hii waliliona hilo eneo wakaliachia mbali... sasa tuone huyo muhindi aliyewadhurumu klabu yenu kama atajenga kitu hapo mamangu nakuambia
 
huu uwanja si unasimamiwa na Riz moko yule wa pale magogoni?
 
Naanza kuamini kua hawa viongozi wanaoziongoza yanga na simba wote wanaingia kwajili ya maslahi yao..

Manji ulituahidi uwanja wa yanga utanza jengwa mwezi wa 6 mwaka huu,. Hadi sasa sio hata kitu apa jangwani,.

Je manji nawe unataka tukuweke kundi la walagai kama rage hapana staki ufike huko.

Sioni cha maana ulichokifanya toka ufike yanga,. Zaidi ya ahadi za kila siku,. Tumechoka na ahadi za kwenye soka tunataka vitendo ,. Tunataka uwanja kama hela imepungua twambie mashabiki tujichange chochote kwajili ya yanga,.

deal za unga aka sembe zimebumbuluka huo uwanja kujenga labda aweke m.a.t.a.k.o rehani
 
Mkuu umeuliza Swali japo ni la kizushi na kishabiki zaidi form two inaingiaje hapo anzisha thread yako inayohusu land reclamation ya holland kwanza tuijadili.... hapa tupo Tanzania eneo la Jangwani ni la Mafuriko na Eneo la Netherland lipo chini ya usawa wa bahari... hapo Jangwani Serikali ilitoa tangazo watu wahame si mahara Salama..... kwani ni mkondo wa Maji.... na kila time ya maji yaki jaa lazima kuna hasara kubwa hutokea.... unataka kusema Manji anaweza kuwa na akili Mbuzi sababu once alishaanza kujenga hapo hadi mashabiki wakaanza kufurahi na maji yalipokuja wakasahau hiyo habari wakati Mwingine msiwe mnajiingiza kichwa kichwa kwenye kuchangia...

Unajifanya unajua! kumbe Unaungua jua!

indoor.jpg

Kama uwanja ndio utakuwa huu basi eneo halali la Yanga haliwezi toshea hapo itabidi waombe serikalini eneo zaidi ambapo ndio imekatazwa kabisa kujengwa...... huhuhuhuhu


Dar es Salaam. Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa sababu kubwa ya kuchelewa kuanza ujenzi wa uwanja wao wa kisasa ni kwa sababu hawajapata jibu kutoka Serikali kuhusiana na maombi yao ya kuongezewa eneo la ujenzi wa uwanja huo.

Klabu hiyo awali ilitangaza kuanza ujenzi wa uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 40,000 mwezi huu kwa kupitia Kampuni ya Beijing Cosntruction Engineering Group (BCEG) kutoka nchini China, ambayo mwishoni mwa mwaka jana ilisaini makubaliano ya upembuzi yakinifu wa uwanja huo uliopewa jina la (Kaunda Stadium).







Choo cha Yanga

duuu aiseee hizo ni ndoto za mchana
 
Wafitini utawajua tu, acheni wivu vijana kapakeni rangi lile jengo la pale kwenye msongamano

nilijitoa simba baada ya kuanza kutumiwa kisiasa na mwigulu, nimebaki kuwa shabiki wa timu yangu ya mtaani danger boyz.
 
Hiyo unayoona wewe watu wamejenga ni watu wenye pesa sio pesa za Manji za kusubiri anunua jengo la NSSF kwa bei poa then alijenge na kuliuza kwa bei mara hamsini zaidi...

Dubai watu wana pesa na si za kufikirika au za Wizi...kama Bongo ndio maana tunashangaa sana mkipigiwa Siasa za kujengwa uwanja Jangwani eneo la Mafuriko na si ruhusa pale kwa usalama wa watu waishio jirani.... Waingereza walitawala nchi hii waliliona hilo eneo wakaliachia mbali... sasa tuone huyo muhindi aliyewadhurumu klabu yenu kama atajenga kitu hapo mamangu nakuambia


kaka kumbe nawe una data hzo? manji anatumia yanga kujijenga kisiasa. anataka aje agombee ubunge au umeya wa dsm. si kuwa ana mapenz na yanga. sema yanga hatujagundua tu kuwa mhind anafanya moja ya michezo yake ya kuchezea watu akil
 
Mkuu umeuliza Swali japo ni la kizushi na kishabiki zaidi form two inaingiaje hapo anzisha thread yako inayohusu land reclamation ya holland kwanza tuijadili.... hapa tupo Tanzania eneo la Jangwani ni la Mafuriko na Eneo la Netherland lipo chini ya usawa wa bahari... hapo Jangwani Serikali ilitoa tangazo watu wahame si mahara Salama..... kwani ni mkondo wa Maji.... na kila time ya maji yaki jaa lazima kuna hasara kubwa hutokea.... unataka kusema Manji anaweza kuwa na akili Mbuzi sababu once alishaanza kujenga hapo hadi mashabiki wakaanza kufurahi na maji yalipokuja wakasahau hiyo habari wakati Mwingine msiwe mnajiingiza kichwa kichwa kwenye kuchangia...

Unajifanya unajua! kumbe Unaungua jua!

indoor.jpg

Kama uwanja ndio utakuwa huu basi eneo halali la Yanga haliwezi toshea hapo itabidi waombe serikalini eneo zaidi ambapo ndio imekatazwa kabisa kujengwa...... huhuhuhuhu


Dar es Salaam. Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa sababu kubwa ya kuchelewa kuanza ujenzi wa uwanja wao wa kisasa ni kwa sababu hawajapata jibu kutoka Serikali kuhusiana na maombi yao ya kuongezewa eneo la ujenzi wa uwanja huo.

Klabu hiyo awali ilitangaza kuanza ujenzi wa uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 40,000 mwezi huu kwa kupitia Kampuni ya Beijing Cosntruction Engineering Group (BCEG) kutoka nchini China, ambayo mwishoni mwa mwaka jana ilisaini makubaliano ya upembuzi yakinifu wa uwanja huo uliopewa jina la (Kaunda Stadium).







Choo cha Yanga

Afadhali Yanga angalau ana choo. Kapakatwa hata choo hana!
 
Hizo ni ndoto za mchana!!! Hata siku moja Bwana Manji hawezi kuiruhusu Young Africans Sports Club ijitegemee. Anachotaka ni kila siku wanachama wamnyenyekee na kumpigia magoti kila tatizo la pesa linapojitokeza Yanga.


Wanachama hai wa Young African wanaelewa kwa nini mpaka leo bado hawajaanza ujenzi,alieleza na kueleweka vizuri na wanachama wake ya kuwa huwezi kuanza kufanya kitu chochote kama timu inafanya vibaya au matokeo si mazuri kwenye ligi ambacho kwa Tanzania hiyo ni kitu ambacho kinaleta mtafaruku kwenye vilabu vyetu vya mpira wa miguu tofauti na klabu za ulaya arsenal wamekaa miaka nane bila kombe kisa uwanja na sasa wanaponya makovu yao kwa kuanza kununua wachezaji wanaopaswa kuchezea uwanja wao mkubwa na mzuri sasa hapa kipaumbele kwa sisi watz ni matokeo mazuri huku tunaandaa kampuni ya Young African ambayo itagawia wanachama share na kuifanya Yanga kuwa sio Tegemezi tena



Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kaka kumbe nawe una data hzo? manji anatumia yanga kujijenga kisiasa. anataka aje agombee ubunge au umeya wa dsm. si kuwa ana mapenz na yanga. sema yanga hatujagundua tu kuwa mhind anafanya moja ya michezo yake ya kuchezea watu akil

Afanye hayo lakini atuachie uwanja. Lakini pamoja na hayo, tunajua anatumia fedha nyingi kwa ajili ya Yanga. Ana malengo yake na sisi tuwe na ya kwetu - win win situation!
 
Mbona uongelei yule anaerujia mada ya saba wakati ya kwanza ameiachaa
Hizo ni ndoto za mchana!!! Hata siku moja Bwana Manji hawezi kuiruhusu Young Africans Sports Club ijitegemee. Anachotaka ni kila siku wanachama wamnyenyekee na kumpigia magoti kila tatizo la pesa linapojitokeza Yanga.
 
wabongo tuache ushabiki jamaa kasema ukweli mtupu manji mzushi tu uwanja watausikia kwenye bomba azamu juu
 
Mkuu umeuliza Swali japo ni
la kizushi na kishabiki zaidi form two inaingiaje hapo anzisha thread
yako inayohusu land reclamation ya holland kwanza tuijadili.... hapa
tupo Tanzania eneo la Jangwani ni la Mafuriko na Eneo la Netherland lipo
chini ya usawa wa bahari... hapo Jangwani Serikali ilitoa tangazo watu
wahame si mahara Salama..... kwani ni mkondo wa Maji.... na kila time ya
maji yaki jaa lazima kuna hasara kubwa hutokea.... unataka kusema Manji
anaweza kuwa na akili Mbuzi sababu once alishaanza kujenga hapo hadi
mashabiki wakaanza kufurahi na maji yalipokuja wakasahau hiyo habari
wakati Mwingine msiwe mnajiingiza kichwa kichwa kwenye kuchangia...

Unajifanya unajua! kumbe Unaungua jua!

indoor.jpg

Kama uwanja ndio utakuwa huu basi eneo halali la Yanga haliwezi toshea
hapo itabidi waombe serikalini eneo zaidi ambapo ndio imekatazwa kabisa
kujengwa...... huhuhuhuhu


Dar es Salaam. Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa sababu
kubwa ya kuchelewa kuanza ujenzi wa uwanja wao wa kisasa ni kwa sababu
hawajapata jibu kutoka Serikali kuhusiana na maombi yao ya kuongezewa
eneo la ujenzi wa uwanja huo.

Klabu hiyo awali ilitangaza kuanza
ujenzi wa uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 40,000 mwezi huu
kwa kupitia Kampuni ya Beijing Cosntruction Engineering Group (BCEG)
kutoka nchini China, ambayo mwishoni mwa mwaka jana ilisaini
makubaliano ya upembuzi yakinifu wa uwanja huo uliopewa jina la (Kaunda
Stadium).







Choo
cha Yanga

Wivu wa kike'
 
Back
Top Bottom