Manji ni mshirika wa nani?!

Manji ni mshirika wa nani?!

Ni rushwa na Manji ni miongoni mwa kingmakers wa viongozi Tanzania. Nchi masikini watafuta Uongozi wanatununua tu na hili LITAISHIA HEWANI bila vyombo vya dola kufanya lolote.

Vv
 
Membe na Lowassa ndio walikuwa wahuni wawili waliotumiwa na mafisadi, tena wa kihindi. Angepita mmoja wao hii nchi ingedharaulika sana
 
CCM is very cheap. wanaletewa hela na katoto ka kihindi kuwachagulia rais wa jamhuri ya muungano ? what a shame. Manji ndio anateua na kumweka madarakani rais. Si bora hata angekwenda mwenyewe, anatuma mtoto ??? yaani kaona ni jambo dogo sana kama kumtuma mtoto soda au maji kwenye kioski.
Kama Membe angechaguliwa si angekua anatumwa sigara na Manji kila mara akienda nje ya nchi.

BURE KABISA HAWA CCM. UNAWEZA UKAFIKIRI UNAONGEA NA MTU MSOMI KUUUMBE ANATUMWA SIGARA NA MANJI. MANJI SI MTOTO WA JUZI TU. LEO MIJITU INA MIAKA SIXTY PLUS INAMPA SHIKAMOO KWASABABU YA ULOFA WA FIKRA
 
Nimekugongea 'like' moja lakini nafanya utaratibu nimuombe moderator abadilishe feature nikugongee 10,000,000!
Aibu isiyo kifani, yaani ni sawa na mke wa waziri kufumaniwa na shamba boy tena kichakani!

Tena mkumbuke huyu jamaa jmajuzi alipewa airtime na TBC eti afanye mdahalo na Mengi na akaishia kujigamba na kusema atagombea udiwani Mbagala.
Kuiondoa nchi katika aibu sio kukata jina la EL na Membe tu bali ni kuiondoa CCM. Asiyeliona hili hakika amechelewa sana!
 
Back
Top Bottom