Manji ni mshirika wa nani?!

Manji ni mshirika wa nani?!

Frank jb

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
418
Reaction score
122
Yule dereva aliyebeba zile hela za quality group ambazo mhasibu wa hiyo kampuni amekamatwa nazo ambazo zilikuwa milioni 700, yule dereva anasema alikuwa na manji pamoja na huyo mhasibu! Sasa ningependa nijue hivi manji ni mshirika wa nani katika wale watangaza nia?
 
Acha uongo, huna luninga kwako? au umekula viroba? taarifa za habari mbona zimeeleza vizuri kama mtoa mada.

Nani kahesabu zile pesa zaidi ya kuonyesha mabegi
 

Attachments

  • 1436645060441.jpg
    1436645060441.jpg
    65.5 KB · Views: 1,224
Hahaha wanasema ni mnunuzi alienda nunua zabibu dodoma
 
Kwa hiyo muhusika atashtakiwa kwa kosa gani
 
Na laiti wazee wa bodaboda wangemuotea yule mhasibu, hakika ingekuwa sherehe kwa wazee wa matukutuku ama wazee wa boxer!
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Ni hivi..hebu jaribuni kuunganisha nukta...
Kama ni mhasibu wa manji na manji ni adui namba moja wa machache .
Na ndugu machache inafahamika wazi kwamba ni team lowasa...so obviously hizo fedha zilipelekwa kwa mpinzani wa lowasa ili kuendeleza ushindani kwa machache..
All in all hzo ni sehemu ndogo sana ya zilizodakwa..je? Ni kiasi gani hawa sisiem wamepeana kama rushwa nje ya upeo wetu...
Hawa jamaa ni kama kansa aisee ..ni waku waondoa hata wakimweka nani
 
Mshirika wa Rostam.

Yule dereva aliyebeba zile hela za quality group ambazo mhasibu wa hiyo kampuni amekamatwa nazo ambazo zilikuwa milioni 700, yule dereva anasema alikuwa na manji pamoja na huyo mhasibu! Sasa ningependa nijue hivi manji ni mshirika wa nani katika wale watangaza nia?
 
Hapa ni kwa kuwa ni wenyewe kwa wenyewe ndio maana kakamatwa, ingekuwa wao na upinzani angepewa ulinzi afike salama. WaTz tuna safari ndefu ya kwenda. Haya tuone chombo chenye uwezo wa kumkamata Manji kama kipo, kama hayakuisha kimya kimya. Ccm ya wakulima na wafanyakazi hiyo, haikohoi kwa wala rushwa!
 
Back
Top Bottom