MANJI MATATANI TENA

Makuwani

Senior Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
197
Reaction score
189
mfanyabiashara manji yupo katika mikono salama kwa kutuhumiwa kukwepa kodi
 
Wangesubiri kwanza mechi iishe wanaweza kuwapa watu kisingizio bureee!.
 
duh! atleast sio uhujumu uchumi atapata dhamana.........kaazi kwelikweli
 
!
!
Manji just get the hell out of this country.... Watakuua hawa jamaa. Ondoka tu mzee. Au omba uraia wa nchi nyingine
 
Ni baada ya story za kutaka kuinunua Nakumati?
 
Shida sana. Kwa nini asiitwe ikulu kwa majadiliano? Kuna watu tunawadai tr450 lakini hatujathubutu kuwapeleka kortini.
 
Hii nchi inafosi kupata hela, sijui ni namna gani bhana

Jamaa anataka Kujenga nchi kwa kufosi, anataka Acacia wamlipe fasta fasta hela aipeleke kwenye reli, sasa wamemkomalia, anarudi tena kujaribu ku fosi kwa Manji labla anaweza kubahatisha kikapatikana chochote
 
Jamani kwani hana nafasi ya kujadili mezani...kama wale wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…