mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 690
Mpaka huyu Jamaa atakapotoka madarakani nchi hii itakuwa makini wa kutupwaKichwa hapo juu kinahusika.
kuna uwezekano Mkubwa Sana Wa Manji kuibuka na fedha nyingi Sana baada y'a kuibuka mshindi ktk lundo la Kesi zisizo na mashiko alizolundikiwa na serikali hii ya Magufuli.
Kwa mujibu Wa habari Za kiintelejinsia baada ya kushinda Kesi hizo, Manji kupitia kampuni yake na ya familia iliyopo Hapa nchini na ambayo IPO kimataifa itafungua Kesi dhidi ya serikali kwenye mahakama ya kibiashara ya dunia kudai fidia ya mabilioni ya dollar.
Kama kawaida Tanzania huko hatuna letu tayari tumeshindwa hata Kabla ya kesi kufunguliwa.
Matokeo yake Nchi itaamuriwa kumlipa fidia Bwana Yusufu Manji.
Kama mnavyoijua serikali yetu itakaidi Amri hiyo, na hapo sasa mchezo ndipo utakapokuwa mtamu, Manji ataomba mahakama impe kibali cha kukamata Mali yeyote ya Tanzania Mahali popote zilipo duniani kote.
Wakati yote hayo yakiendelea Manji name familiar yake watakuwa amehamia Canada.
Naandika haya Kama mzalendo ili taadhari zichukuliwe mapema
Najaribu kufuatilia mkakati alionao Seth na Rugamarila nitawajuza nikiwa tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
ama mnavyoijua serikali yetu itakaidi Amri hiyo, na hapo sasa mchezo ndipo utakapokuwa mtamu, Manji ataomba mahakama impe kibali cha kukamata Mali yeyote ya Tanzania Mahali popote zilipo duniani kote.
Wakati yote hayo yakiendelea Manji name familiar yake watakuwa amehamia Canada.
Naandika haya Kama mzalendo ili taadhari zichukuliwe mapema
Najaribu kufuatilia mkakati alionao Seth na Rugamarila nitawajuza nikiwa tayari
Katika madiwani wa ajabu kuwai kutokea n uyu, yaani huwez kuamini na jina lote alilonalo ameshindwa ata kutengeneza barabara ambayo at km mbl haizid badala yake wananchi wa mbagala kuu wanapandaga magari ya ajabu ya tetenasi, nachoweza kusema huyu jamaa kuna kitu alkua anatafuta kama s umeya ili aje akamate viwanja na mali za jiji sjui maana s kwa uungozi huu,..Kwani si bado ni Diwani??
Vipi wapiga kura hawamhitaji?
Kichwa hapo juu kinahusika.
kuna uwezekano Mkubwa Sana Wa Manji kuibuka na fedha nyingi Sana baada y'a kuibuka mshindi ktk lundo la Kesi zisizo na mashiko alizolundikiwa na serikali hii ya Magufuli.
Kwa mujibu Wa habari Za kiintelejinsia baada ya kushinda Kesi hizo, Manji kupitia kampuni yake na ya familia iliyopo Hapa nchini na ambayo IPO kimataifa itafungua Kesi dhidi ya serikali kwenye mahakama ya kibiashara ya dunia kudai fidia ya mabilioni ya dollar.
Kama kawaida Tanzania huko hatuna letu tayari tumeshindwa hata Kabla ya kesi kufunguliwa.
Matokeo yake Nchi itaamuriwa kumlipa fidia Bwana Yusufu Manji.
Kama mnavyoijua serikali yetu itakaidi Amri hiyo, na hapo sasa mchezo ndipo utakapokuwa mtamu, Manji ataomba mahakama impe kibali cha kukamata Mali yeyote ya Tanzania Mahali popote zilipo duniani kote.
Wakati yote hayo yakiendelea Manji name familiar yake watakuwa amehamia Canada.
Naandika haya Kama mzalendo ili taadhari zichukuliwe mapema
Najaribu kufuatilia mkakati alionao Seth na Rugamarila nitawajuza nikiwa tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu muachage ujinga...manji ameshitakiwa kama manji..sio biashara yakeKichwa hapo juu kinahusika.

Unalazimika kuwaza ndani ya boxhebu muachage ujinga...manji ameshitakiwa kama manji..sio biashara yake
Halafu Jurisdiction ya kesi ni ndani ya nchi na sio nje
sometimes msiwe wajinga kiasi hiki