Habari wana jamvi,
Naomba niwape angalizo watani wangu Yanga kuhusu huyu bwana Yusuph Manji. Kama mnakumbuka aligombea Kata ya Mbagala Kuu kwa tiketi ya CCM.
Kweli alikuja na staili yake ya kulaghai watu, mosi alipitisha form kwa wananchi kuwaambia waoanishe matatizo yao na kero, watu wakaona wamepata mkombozi lakini wapi.
Pili akaja na plan yake ambayo kama mnakumbuka iliandaliwa kwa ufundi kuwalaghai watu na cha kushangaza ilisambazwa na mwananchi Tz nzima wakati alikuwa anagombea Mbagala Kuu tu, maajabu mpaka leo hakuna jipya.
Alianza kwa kutoa magreda ya kurekebisha barabara na kuzoa taka bure, watu wakaingia kingi wakatapeliwa. Baada ya mbwembwe zote hizo leo Mbagala Kuu ni kilio tu, wanajuta kwa nini walimchagua. Najua huyu jamaa baada ya kukosa Umeya alilufa nguvu kabisa. Nawaonya Yanga msije kudanganywa na huyu jamaa mtakuja umia na kujuta.
Jifunzeni kutoka kwenye Kata yake.
Kwani yy ni serikali ? hilo ni jukumu la sirikali yy alikuwa anasaidia tuHabari wana jamvi,
Naomba niwape angalizo watani wangu Yanga kuhusu huyu bwana Yusuph Manji. Kama mnakumbuka aligombea Kata ya Mbagala Kuu kwa tiketi ya CCM.
Kweli alikuja na staili yake ya kulaghai watu, mosi alipitisha form kwa wananchi kuwaambia waoanishe matatizo yao na kero, watu wakaona wamepata mkombozi lakini wapi.
Pili akaja na plan yake ambayo kama mnakumbuka iliandaliwa kwa ufundi kuwalaghai watu na cha kushangaza ilisambazwa na mwananchi Tz nzima wakati alikuwa anagombea Mbagala Kuu tu, maajabu mpaka leo hakuna jipya.
Alianza kwa kutoa magreda ya kurekebisha barabara na kuzoa taka bure, watu wakaingia kingi wakatapeliwa. Baada ya mbwembwe zote hizo leo Mbagala Kuu ni kilio tu, wanajuta kwa nini walimchagua. Najua huyu jamaa baada ya kukosa Umeya alilufa nguvu kabisa. Nawaonya Yanga msije kudanganywa na huyu jamaa mtakuja umia na kujuta.
Jifunzeni kutoka kwenye Kata yake.
Oyaaaa huo ni mpuyango OG fanya yako achana na ya yangaHabari wana jamvi,

inaonekana nyinyi mmepata bonge la diwani ametoa mpaka magreda ya kusembua bara bara kwenye kata yake tuulize sisi wenzeo wabunge na madiwani wetu wametunyia nini? hata kutushukuru tu kwa kuwapa kura(kula)wanaona shida
Ana tabia ya kuhamisha magoli kila wakati. Ukiangalia malengo yake utaona hatimizi hata moja. Kila siku anawaweka kwenye matumaini. Lakini haya yote yana mwisho, poleni sana na mtaumia sana nikumbuka uwanja wa BAKWATA pale Chang'ombe akaja pale kwenye magodauni UFI, aisee ngoja tuone mwisho wa filamu utakuwaje.Hivi nyinyi kabisa mulitazamia Manji anaeishi Sea view aje kuwahudumia nyinyi bila ya faida yo yote?
Alipoondolewa kwenye list mulifanya NA maandamano kabisa, yeye hakuhudhuria vikao vya awali vya uteuzi lakini mulimpitisha. Kwa hivyo kwa sasa mulie tu.
kabla ya Manji diwani wa Mbagala Kuu aliwaletea maendeleo gani?Habari wana jamvi,