Manispaa ya wilaya ya Temeke kwasasa inaendeshwa kimaifa kwa watendaji wake kudai rushwa kwa wakazi wa wilaya hii mara kwa mara. Ukishindwa kutoa hiyo rushwa unapelekwa Segerea wiki mbili.
Namuomba Waziri wa Tamisemi/Takukuru watupie macho watendaji wa manispaa hii.