mdoe the thinker
Senior Member
- Dec 11, 2012
- 104
- 20
Hivi kwa nini inaonekana kama vile ni jambo la kuidhihaki serikali eti kwa sababu walimu wamefelisha wanafunzi kwa sababu madai yao hayakusikilizwa,hii kazi ya ualimu haina ethics?
Kinondoni kulikuwa na jumla ya watahiniwa wangapi?
Uongo si mzuri muda mwingine mkitoa matokeo muwe na takwimu sahihi au kama hizo shule anazoziongelea diwani zipo kwenye kata yake........
Jumla ya wanafunzi wapatao elfu tano 5000
Kati ya wanafunzi elfu 5,000, division I ni watano tu (0.1%)? Tuna taifa hapo?
Hiyo ndiyo serikali ya ccm inapolipeleka Taif letu!kaa chonjo MABADILIKO yameanza!M4C at work,,,
Hebu wewe tupe hizo sahihi ulizo nazo kama hizi sio sahihi....Uongo si mzuri muda mwingine mkitoa matokeo muwe na takwimu sahihi au kama hizo shule anazoziongelea diwani zipo kwenye kata yake........
Kwani huyo mto mada katoa takwimu zipi? zaidi ya kusema tu na watu wanamsapoti.Tupe takwimu zilizo sahihi!
Kwani huyo mto mada katoa takwimu zipi? zaidi ya kusema tu na watu wanamsapoti.
Sasa kama unafahamu mtu akikwambia wilaya ya kinondoni bila ya kunyambulisha anachokimaanisha! na mimi nataka kumwambia kama kiwilaya shule ya Feza ipo kwenye wilaya ya kinondoni na imetoa Div I 48, lugalo ina div I 3 au ana Kinondoni anayoimaanisha?
Uongo mtupu, ninaifahamu shule moja ambayo ina division one zaidi ya 10 !!!!!