Manispaa ya Bukoba ina uhitaji wa daladala

Mji Wa bukoba ulio na watu zaidi ya laki mbili na eneo kubwa lenye makazi ya watu lakini cha kushangaza mji huu hauna route yoyote ya daladala zinazofanya usafiri ndani ya mji mbali na bodaboda,bajaj na taxi ambazo zina tozo kubwa.zamani mji huu ilikuwa na route za daladala hasa kutoka bandarini mpaka rwamishenye.stand rwami nk lakini vilikufa lakini sasa watu wanateseka kusafiri kutoka sehemu moja na nyingine ukizingatia mji huu una milima mingi.mfano toka kahororo km 5.toka kyakairabwa km 6 .toka kyebitembe km7.toka custom km 4.na kutoka kibeta na saut km 10.kutoka nyakato km 10 nk.hivyo watu wanateseka hasa kutembea hadi mji kutoka maeneo haya.tunawakaribisha wote wanaotaka kufanya biashara ya daladala anakaribiswa sana tunazihitaji mno tumechoka na bodaboda!!!
 
hawana kitu n mbwembwe tu maskini wa kutupwa
Ni masikini mno wale jamaa, ungeniuliza mapema wala hata nisingekushauri kwenda kule kwanza huna ukoo kule ...sijui ulifata nini masikini. Yaani mara kumi ungeenda kwenu kule si unajua pako freshi sana, next time uliza kwanza
 
Ntaleta hiece yangu huko maana hapa moshi mjin naona zinazngua tuu
 
Ni masikini mno wale jamaa, ungeniuliza mapema wala hata nisingekushauri kwenda kule kwanza huna ukoo kule ...sijui ulifata nini masikini. Yaani mara kumi ungeenda kwenu kule si unajua pako freshi sana, next time uliza kwanza
hata stand tu hakuna mwee
 
BK pachovu mno, ukiendekeza kula panzi na chakula chake (ndizi) hata na kichwa chako kinakuwa kinawaza kama panzi mwenyewe. Yaani mji wa watu laki 2 ukose daladala kweli? Wahaya wakija mjini na kuona taa kelele kibao utadhani huko BK ni New York.
 
Watu wanagonga rege toka Kemondo hadi mjini wako vizuri na shortcut za miliman wanaziweza hakuna haja ya daladala BK
 
Atapanda nani akati kila mtu ana range Rover lake

Ile range rover yenye plate number za KOKWENDA itakuwa inapiga route za huko kwao maana huku town siioni siku hizi . Heshima kwenu wazawa wa Bukoba mna tambo sio ta kitoto
 
Route ya custom ya rwamishenye ilisimama baada ya meli kutofanya tena route za mwanza to bukoba! Watu wa Bk hawataki kutumia daladala kwasababu zinamchelewesha abiria! Nikipanda baiskeli kutoka rwamishenye mpaka soko kuu natumia dk5 ,je daladala itachukua muda gani? Watu wengi wa Bk wanapenda kutembea kwa miguu kwasababu wameshajua faida za kutembea! Siwezi kupanda gari kutoka nshambya au rugambwa kuja Bk town wakati ni mtelemko tu! Kitu kingine huu mji ni mdogo na wananchi wanaishi karibu na ofisi zao! Katikati ya mji kuna usafiri mwingi. Baiskeli na pikipiki zimejaa mpaka zinakela! Ni sawa na kumwambia mtu Shinyanga mjini kutumia daladala wakati baiskeli anaiona. Bukoba ukileta basi kubwa za kwenda nje ya mji au wilayani utakwama maana watu wanahesabu muda wa kusubiri mpaka lijae utakuwa keshapoteza muda ndo maana unaona hiace zinaenda nje ya mji .
 
Back
Top Bottom