The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,160
Ili kudhihirisha kitu ni vyema ukajiangalia kwanza Namna ulivyosimama ndani mwako ili uweze kudhihirisha jambo lako haraka.
Udhihirishi chanya unahitaji nguvu ya Upendo,Unyenyekevu , uvumilivu na nidhamu.
Udhihirisho unahitaji malengo imara ili uweze kukiumba kitu unachokitaka.
Angalia maneno unayoyatamka ,Angalia jinsi unavyowaza na kufikiri ,Angalia jinsi unavyotenda .
Yote hayo unayafanya iwe kwa kusema maneno,kufikiri na kutenda hujiumba na kutokea kwako au kutokea kwa mtu uliyemlenga na mwisho wa siku kama ulipanda mbegu njema au mbaya itamea katika maumbile ya mwili kwa kutokea kama jambo au kitu.
Udhihirisho unahitaji umakini sana,unakuta mtu amejinenea kuwa anataka labda shilingi 50ml ,ndio ni jambo jema ,lakini aliponena hayo akasahau na pengine akaendelea kunena kwa kujua au kutokujua maneno hasi.
Unakuta mtu anajinenea maisha magumu ,anajinenea kuumwa Magonjwa ,nk nk wakati Kule nyuma aliwahi kunena mambo chanya ya kupata pesa kadhaa.
Hakika mtu yule udhihirisho wake utakuwa ni kazi Bure.
Angalia sana kile unachonena ,unachowaza,unachofikiri na kutenda kwani NDICHO unachopanda..
Kama ni Ngano umeipanda mwenyewe na utaivuna tu,na kama ni Magugu umeipanda mwenyewe na utaivuna tu